WATANZANIA wawili wanaokipiga Ligi Kuu ya Walemavu nchini Uturuki, Ramadhan Chomelo anayekipiga Konya Amputee na Hebron ...
KOCHA wa Mbeya City, Salum Mayanga amesema hadi sasa timu hiyo kutoka jijini Mbeya iko katika uelekeo mzuri kutokana na nafasi iliyopo na kuwataka nyota wa kikosi hicho kuongeza umakini ...
MSHAMBULIAJI wa Mbuni, Naku James amesema moja ya malengo yake makubwa aliyojiwekea katika ligi hii ya Championship ni ...
KIWANGO kizuri kinachoonyeshwa na mshambuliaji mpya wa Bigman FC, Said Zanda kimemwibua kocha mkuu wa timu hiyo, Zubery ...
NYOTA wa Kitanzania, Clement Mzize ndilo jina ambalo linatembea kwa sasa vinywani mwa mashabiki wa Yanga, nyota yake ikizidi ...
USHINDI katika dakika 90 Jumapili hii kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma baina ya Mashujaa na Yanga una maana kubwa kwa ...
UBINGWA wa Ligi Kuu Bara msimu huu ni kama kaa la moto, kwani timu zinazokimbizana kileleni zile tatu kila moja ipo mawindoni ikilisaka taji ambalo lipo mikononi mwa Yanga inayopambana kulitetea.
EVERTON imenyumwa penalti kwenye dakika za majeruhi wakati Manchester United ikipambana kutoka nyuma na kuambulia sare ya ...
LIVERPOOL imetikisa nyavu mara 62 kwenye Ligi Kuu England hadi sasa. Manchester City yenyewe imetupia kwenye nyavu za wapinzani mara 52. Kwa pamoja timu hizo zimefunga mabao 114.
REAL Madrid imeripotiwa kufungua milango ya kumpiga bei kiungo Eduardo Camavinga kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ...
MABOSI wa Liverpool wameshauriwa kufungua pochi kumsajili straika wa Newcastle United, Alexander Isak kwenda kuchukua mikoba ...
ARSENAL na Liverpool zinaweza kujikuta kwenye wiki moja matata itakayowafanya kuwa kwenye vita kali ya kusaka ubingwa wa Ligi Kuu England na ule wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.