Dar es Salaam. Nyota wa kimataifa wa Riadha nchini, Gabriel Geay amefunika baada ya kuibuka mshindi wa kwanza wa mbio za ...
Doyo amesema hawaafiki msimamo huo kutokana na wao kutonufaika na muunganiko wowote wa vyama vya siasa wanapoungana kuikabili CCM.
Chama cha NLD kimesema hakina mpango wa kushiriki muungano wa upinzani kwa sababu mwaka 2015 kilishiriki ushirikiano ...
Moshi. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko, amewataka Watanzania kuishi maisha yanayofuata misingi ya afya ...
Dar es Salaam. Benki ya Absa Tanzania imesema itaendelea kuunga mkono juhudi mbalimbali zenye lengo la kuhakikisha wanawake wa Tanzania wanapiga hatua za kimaendeleo mahali pa kazi.
Sumbawanga. Mahakama Kuu, Masijala Ndogo ya Sumbawanga, imemkuta Budagala Shija, mkazi wa Wilaya ya Tanganyika, na kesi ya ...
Dar es Salaam. Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema Serikali inatarajia kuona elimu ya Qur'an ikianza kutolewa ...
Mkuu huyo wa nchi amesema Mkoa wa Tanga umepokea Sh3.1 trilioni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali, hivyo ziara yake inalenga kujionea fedha hizo zimefanya kazi gani.
Mwalimu huyo wa madrasa ambaye picha za tukio hilo zilienea kwenye mitandao ya kijamii, alikamatwa baada ya kuonekana ...
Rais Samia Suluhu Hassan alipowasili katika Uwanja wa Shule ya Msingi Mkata Mashariki kwa ajili ya mkutano wa hadhara na wananchi wa Wilaya ya Handeni, mkoani Tanga, ikiwa ni siku ya kwanza ya ziara ...
Mara ya mwisho Rais Samia alitembelea mkoani humo, Machi mwaka 2021 akiwa Makamu wa Rais na ndio iliyokuwa ziara yake ya ...
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinatathmini uendeshaji wa viwanja vyake vya michezo ili kuangalia uwezekano wa kuuboresha ...