Medo ambaye alitua Kagera akitokea kwa ndugu zao Mtubwa Sugar ndani ya mechi 14, amefanikiwa kushinda mechi mbili pekee ...
LAZIMA tukubali kwamba sio kila mwanamuziki anayefanya vizuri au mwenye nguvu ya ushawishi anaweza kuisimamia rekodi lebo na ...
Vatican imesema Papa Francis ambaye amelazwa hospitalini kwa zaidi ya wiki moja sasa, bado yuko katika hali ya ‘mahututi’ ...
Mdee na wenzake walikata rufaa Baraza Kuu la Chadema dhidi ya uamuzi huo wa Kamati Kuu. Baraza Kuu lililokutana Mei 11, 2022 ...
Mara mbili tofauti ambazo Serengeti Boys ilishiriki Afcon U17 ambazo ni 2017 na 2019 haikufanikiwa kufuzu Kombe la Dunia.
Dar es Salaam. Beki wa Namungo, Derrick Mukombozi hatimaye amefutiwa kadi nyekundu ya moja kwa moja aliyopewa kwenye mchezo ...
Liverpool inayonolewa na kocha Arne Slot ndio imetabiriwa kuwa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa ambapo imepewa asilimia 17.2 ya ...
Viongozi wa umma wanapaswa kuelewa kuwa wao ni watumishi wa wananchi na si waajiri wao, kwa sababu kodi za wananchi ndizo ...
Licha ya kukaa miaka zaidi ya minane bila kutoa kazi mpya, bado nyimbo za Shaa zilizompatia umaarufu zinaendelea ...
Baada ya mchekeshaji Leornado kushinda tuzo ya 'Overall Best Comedian Of The Year' katika usiku wa Tanzania Comedy Award, ...
Nafahamu kuna mambo ni magumu mno kwa mzazi kuzungumza na mtoto wake, likiwemo hili la afya ya uzazi, wengi tunaamini kwamba ...
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kiongozi huyo wa kiroho pia aliongezewa damu ili kutibu tatizo la anemia lililomkumba.