Dar es Salaam. Benki ya Absa Tanzania imesema itaendelea kuunga mkono juhudi mbalimbali zenye lengo la kuhakikisha wanawake wa Tanzania wanapiga hatua za kimaendeleo mahali pa kazi.
Sumbawanga. Mahakama Kuu, Masijala Ndogo ya Sumbawanga, imemkuta Budagala Shija, mkazi wa Wilaya ya Tanganyika, na kesi ya ...